Luke 21:5

Dalili Za Siku Za Mwisho

(Mathayo 24:1-2; Marko 13:1-2)

5Baadhi ya wanafunzi wake wakawa wanamwonyesha jinsi Hekalu lilivyopambwa kwa mawe mazuri na kwa vitu vilivyotolewa kuwa sadaka kwa Mungu. Lakini Yesu akawaambia,
Copyright information for SwhNEN